Kwa wale wote waliochaguliwa kujiunga na kozi ya Maabara , Clinical medicine na Nursing, watapata barua za kujiunga Admission letter kwenye e-mail zao walizotumia kujisajili Kwenye Central Admission System CAS au fika katika ofisi za St. Aggrey College of Health Sciences Mbeya.