1 comment:

  1. mimi ni mwanafunzi niliyemaliza certificate in nursing chuo cha public health of nursing morogoro na nilikuwa nahitaji kuendelea na diploma kwani ndivyo mipango yangu ilivyo ,nilikuwa naulizia process za kujiunga na chuo na pindi matokeo yakitoka niweze kujua wapi naelekea ..namba zangu ni 0762092741 or 0656807636 email; yassinirabhu@gmail.com ,tafadhali naombeni kufahamu kwani anaye nisomesha aliachiwa anisomeshe mpaka diploma kwahiyo hii ni nafasi kubwa kwangu naombeni mnisaidie ...naamini ntasikia kutoka kwenu hivi karibuni..ahsante.

    ReplyDelete